Yesu Kristu Amezaliwa

Duración: 03:11

[Click aquí para Descargar Mp3 - Enlace Externo]

Yesu Kristu Swahili Jesus Christ (Yesu Kristu, Amen. Yesu Kristu, Amen. Yesu Kristu Amen. Njooni wote tumshangilie amezaliwa.) / x2 Mkombozi wetu, njooni wote tumshangilie amezaliwa. / x2 1. Siku ya leo, Amen. Amezaliwa, Amen. Na amani na mapendo aleluya. / x2 2. Na sisi leo, Amen. Waduniani, Amen. Tufurahiwe na mwokozi aleluya. / x2