UJE UNISAIDIE

Length: 02:30

[Click here to Download Mp3 - External Link]

UJE UNISAIDIYE 1. Uje unisaidiye Mwokozi wa baraka Nehema yako ni tele nakutoleya sifa Unifundishe kusifu sifa za malaika Ni mekaa upendoni, upendo wa hakika 2. Naja kwako unishike, na jitoa kabisa kwa mapendo yako niwe, mwaminifu wa sifa.Nilipotembea mbali Yesu alinipata Akaniokowa kweli, kwa damu ya Salama 3. Kwako ni mekuwa mgeni, umenipa nehema.Nisipoteleye mbali, unifunge kwa wema. Mi mwenye ku tangatanga, mi mwenye kupotea.Uchukue moyo wangu, unifunge kabisa.